Harmonize Amelowa MP3 DOWNLOAD
The prolific Konde Music Worldwide superstar singer, Harmonize roll out this massive song titled “Amelowa” this is a follow up to his recent single tagged “Nitaubeba.”
The song was produced by Sign Beat.
Take a listen below!
Amelowa lyrics by Harmonize
Hiyo miinamo huko nyuma yaliyomo yamo eeeh
Binti wa makamo come closer na give me some more Kama tunda lilimshinda Adamu akashindwa kuvumilia Sa kwanini tuitane binamu na nyongo itatumbukia Ulimi ukipitiliza kunanimaliza mwenzako bado najiuliza Hivi ni kweli ama tunaigiza Moyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboaAlinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia
Zikanipanda hisia na nilipochuchumia maji yakatokaAmelowa, amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua Amelowa amelowa amenyeshewa na mvuaUuuh aaah ameniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Uuuuh aaah kwenye papara pupa nawona washamba Jeupega mwanao wenye kwilejakuloa jejikukila mwanau Liduvalipapa ukakaukyilamba, liduvalipamba ukakaukakyilambaMoyo umezama kwake bila yeye siwezi toboa
Mi ndo fundi wa raha zake natwanga nakukoboa Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia Na nilipochuchumia maji yakatokaAmelowa, amelowa amelowa na mvua
Amelowa amelowa amenyeshewa na mvua Mtoto amelowa amelowa amelowa na mvua Amelowa amelowa amenyeshewa na mvuaAmeniweka kwenye chupa ndo maana natamba
Kwenye papara pupa nawona washamba Alinikumbatia mkono wa kushoto kwenye gia zikanipanda hisia Na nilipochuchumia maji yakatoka amelowa