Listen to Lava Lava Kariakoo MP3 DOWNLOAD Free Audio Music Song
Lava Lava, a renowned Tanzanian musician associated with the WCB Wasafi Record, has delighted his followers with a captivating new single titled “Kariakoo“.
This piece emulates the vibrant energy of the popular Dar es Salaam district it is named after, blending Amapiano and Bongo Flava for a jubilant and carefree vibe that is conducive to dancing.
This music emphasizes living in the present and commemorating moments of bliss and unforgettable experiences.
Moreover, this is his eighth production for the year and it continues to elevate the popularity achieved by his intriguing earlier release, “Moto“.
Listen below!
Kariakoo Song Lyrics By Lava Lava
INTRO
Heheh love bite
Eenh eeeh pablo kaligusa penyewe
CHORUS
Kalia siti kalia
Kalia si umetaka lifti kalia
Kaliaaaa aaah kalia
Kalia si umetaka lift kalia
Kalia kiti kalia
Kalia chombo imesimama kalia
Kaliaaaa aaah kalia
Kalia chombo imesimama kalia
Tukupeleke mujini
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo
HOOK
Pablo kasimama, kasimama dede
Pablo kasimama, kasimama dede
Ninja kasimama, kasimama dede
Ninja kasimama, kasimama de de de
VERSE
Karibu mgeni karibu, pita ndani (Pita ndani)
Kama sebuleni kwako aibu
Basi njoo chumbani (Njoo chumbani wewe)
Waliniambia unatoka buza we wa mtaa gani
Eenh ukae kwa jamvi ukalie kigogo au kibarazani
Karibu sana
CHORUS
Kalia siti kalia
Kalia si umetaka lifti kalia
Kaliaaaa aaah kalia
Kalia si umetaka lift kalia
Kalia kiti kalia
Kalia chombo imesimama kalia
Kaliaaaa aaah kalia
Kalia chombo imesimama kalia
Tukupeleke mujini
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo
OUTRO
Pablo kasimama, kasimama dede
Pablo kasimama, kasimama dede
Ninja kasimama, kasimama dede
Ninja kasimama, kasimama de de de